Genesis 43:34

34Wakati walipelekewa sehemu ya chakula kutoka mezani mwa Yusufu, sehemu ya Benyamini ilikuwa mara tano zaidi ya sehemu ya wale wengine. Kwa hiyo wakanywa na kufurahi pamoja naye.
Copyright information for SwhKC